tag:blogger.com,1999:blog-1459725036613876431.post3181103802461988223..comments2023-03-26T05:18:39.008-07:00Comments on MALIASILI NA UTALII BLOG: MAAZIMIO YA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALIIUnknownnoreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-1459725036613876431.post-84839658816282236672017-04-13T04:38:12.133-07:002017-04-13T04:38:12.133-07:00Hongereni sana kwa kuliona hili swala la uvunaji m...Hongereni sana kwa kuliona hili swala la uvunaji msitu kiholela maana sasa ivi ukienda mapori yote yaliopo mkoani mbeya kama upendo na mamba pfm mengi yamevamiwa sana na kumekuwa na ukwepaji mkubwa wa ushuru wa serekali kuu na vijinini pia wanakijiji awafaidiki na haya me naomba hii sera ya pfm iangaliwe mara mbili maana haina tija kwa wanakijiji na mapori yanazidi kupotea.. pia kwenge swala la mifugo kuingia hifadhini hasa selous na mbuga zingene hasa ambazo zipo karibu na kabila la wamasai ukiangalia kwa undani zaidi utaona watu ambao wanazunguka hizo hifadhi awana ile elimu juu ya faida za uwepo kwa hifadhi ivyo wapewe elimu kidogo kidogo jamii itaelewa umuhimu wa wangama pori pia naomba usihano kati hifadhi na jamii .nawasilishajames mapundihttps://www.blogger.com/profile/04817365424445910571noreply@blogger.com