tag:blogger.com,1999:blog-1459725036613876431.post4986761569833314167..comments2023-03-26T05:18:39.008-07:00Comments on MALIASILI NA UTALII BLOG: WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YANYAKUA TUZO MBILI KATIKA MAONESHO YA 40 YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA DAR ES SALAAM 2016 - SABASABAUnknownnoreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-1459725036613876431.post-8828455007889479522016-07-11T01:28:42.630-07:002016-07-11T01:28:42.630-07:00Ni siku ya tatu sasa tangu tumalize maonesho ya SA...Ni siku ya tatu sasa tangu tumalize maonesho ya SABASABA 2016. Licha ya changamoto ndogondogo zilizojitokeza Wizara imeweza kushiriki vizuri na kupata Tuzo mbili kwa nafasi ya best exhibitor. Tunapongeza juhudi za Viongozi wote wa Wizara kwa jitihada zao kuwezesha ushiriki wetu vizuri. Tunawapongeza washiriki wa wote wa Wizara, Taasisi na Mashirika yaliyo chini ya Wizara pamoja na wadau wetu kwa kazi nzuri waliofanya kipindi chote cha maandalizi na wakati wa Maonesho ya mwaka huu 2016. Maoni tuliyopokea kutoka kwa wageni waliotutembelea hatuna budi kuyafanyia kazi pamoja ili kuongeza ufanisi wa kazi zetu na shughuli hii ya Maonesho ya SABASABA kwa miaka ijayo. <br />Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/07516247351197058131noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1459725036613876431.post-65868843982737899402016-07-02T07:05:49.597-07:002016-07-02T07:05:49.597-07:00Hongereni kwa kazi nzuri and KEEP IT UP
Hongereni kwa kazi nzuri and KEEP IT UP<br /><br />Mbelwahttps://www.blogger.com/profile/12376306942125056973noreply@blogger.com