Naibu Waziri wa Maliasili, Mhandisi Ramo Makani
(kushoto) akizungumza na watalii kutoka Marekani wakati wa ziara yake ya
kukagua shughuli za utalii na mfumo wa ukusanyaji mapato katika geti la Machame
ndani ya Hifadhi ya Taifa Mlima Kilimanjaro jana. Alipowauliza watalii hao ni
wapi walipata habari za mlima huo, walijibu kuwa kila mtu anajua kuhusu mlima Kilimanjaro!.
Naibu Waziri wa Maliasili, Mhandisi Ramo Makani
(wa nne kushoto) akizungumza na watalii kutoka Marekani wakati wa ziara yake ya
kukagua shughuli za utalii na mfumo wa ukusanyaji mapato katika geti la Machame
ndani ya Hifadhi ya Taifa Mlima Kilimanjaro jana. Alipowauliza watalii hao ni
wapi walipata habari za mlima huo, walijibu kuwa kila mtu anajua kuhusu mlima Kilimanjaro!.
Wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Kippi Warioba, Mhifadhi Mkuu wa KINAPA, Betrita Loibooki na nyuma yake ni Mbunge wa Vunjo, James Mbatia.
Naibu Waziri wa Maliasili, Mhandisi Ramo Makani (wa tatu kulia) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mhifadhi wa KINAPA, Steven Moshi (wa pili kulia) namna mfumo wa ukusanyaji mapato unavyofanya kazi katika Hifadhi ya Taifa Mlima Kilimanjaro wakati wa ziara yake ya kukagua shughuli za utalii na mfumo wa ukusanyaji mapato katika geti la Machame jana. Kulia anayeshuhudia ni Mbunge wa jimbo la Vunjo, James Mbatia.
Naibu Waziri wa Maliasili, Mhandisi Ramo Makani (wa tatu kulia) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mhifadhi wa KINAPA, Steven Moshi (wa pili kulia) namna mfumo wa ukusanyaji mapato unavyofanya kazi katika Hifadhi ya Taifa Mlima Kilimanjaro wakati wa ziara yake ya kukagua shughuli za utalii na mfumo wa ukusanyaji mapato katika geti la Machame jana. Kulia anayeshuhudia ni Mbunge wa jimbo la Vunjo, James Mbatia.
Naibu Waziri wa Maliasili, Mhandisi Ramo Makani
(katikati) akipanda mlima Kilimanjaro wakati wa ziara yake ya kukagua shughuli
za utalii na mfumo wa ukusanyaji mapato katika geti la Machame jana. Kushoto
kwake ni Mbunge wa Jimbo la Vunjo, James Mbatia, Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Kippi
Warioba (kulia kwake), Mkurugenzi wa Idara ya Utalii, Zahoro Kimwaga (kushoto)
na Mbunge wa Moshi Vijijini, Anthony Komu (kulia).
Naibu Waziri wa Maliasili, Mhandisi Ramo Makani
(wa nne kulia) akipanda mlima Kilimanjaro wakati wa ziara yake ya kukagua
shughuli za utalii na mfumo wa ukusanyaji mapato katika geti la Machame jana. Wengine
pichani ni Mbunge wa Jimbo la Vunjo James Mbatia (wa tatu kulia), Mkuu wa
Wilaya ya Moshi, Kippi Warioba (wa pili kushoto), Mkurugenzi wa Idara ya
Utalii, Zahoro Kimwaga (kushoto), Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu TANAPA, Mtango
Mtahiko (kulia), Mbunge wa Moshi Vijijini, Anthony Komu (wa pili kulia) na Mhifadhi
wa KINAPA, Steven Moshi.
Naibu Waziri wa Maliasili, Mhandisi Ramo Makani (wa tatu kulia) akipanda mlima Kilimanjaro wakati wa ziara yake ya kukagua shughuli za utalii na mfumo wa ukusanyaji mapato katika geti la Machame jana. Wengine pichani ni Mbunge wa Jimbo la Vunjo James Mbatia (wa nne kulia), Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Kippi Warioba (kulia), Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu TANAPA, Mtango Mtahiko (kushoto), Mbunge wa Moshi Vijijini, Anthony Komu (wa pili kushoto) na Mhifadhi wa KINAPA, Steven Moshi (wa pili kulia).
Naibu Waziri wa Maliasili, Mhandisi Ramo Makani
(wa pili kulia) akipanda mlima Kilimanjaro wakati wa ziara yake ya kukagua
shughuli za utalii na mfumo wa ukusanyaji mapato katika geti la Machame jana.
Wengine pichani ni Mbunge wa Jimbo la Vunjo, James Mbatia (kulia) na Mhifadhi
wa KINAPA, Steven Moshi.
Naibu Waziri wa Maliasili, Mhandisi Ramo Makani (wa
pili kulia) akisikiliza na kujibu kero mbalimbali za wapagazi wanaopandisha
mizigo ya watalii katika mlima Kilimanjaro wakati wa ziara yake ya kukagua
shughuli za utalii na mfumo wa ukusanyaji mapato katika geti la Machame jana.
Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro, Betrita Loibook (kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na mtalii (katikati) pamoja na mhifadhi wa hifadhi hiyo wakati wa ziara hiyo.
Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro, Betrita Loibook akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wahifadhi, mtalii na waongoza watalii.
No comments:
Post a Comment