Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Eng. Ramo Makani akisallimiana na watumishi wa Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi Mkoani Mwanza alipotembelea chuoni hapo tarehe 22 Julai, 206.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Eng. Ramo Makani (kulia) akipanda mti wa kumbukumbu kwa kutembelea Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori ya Pasiansi iliyopo Mkoani Mwanza kwa mara ya kwanza tangu ateuliwe kuwa Naibu Waziri wa Wizara hiyo. Kushoto ni Mkuu wa Taasisi hiyo, Lowaeli Damalu.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Eng. Ramo Makani (wa pili kulia) akikagua mazingira ya Taasisi hiyo. Kulia ni Mkuu wa Taasisi hiyo, Lowaeli Damalu.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Eng. Ramo Makani (wanne kushoto) akizungumza na Mkandarasi anayejenga Jiko na Bwalo la Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi. Jiko na Bwalo hilo linapanuliwa liweze kukidhi mahitaji ya wanfunzi chuoni hapo.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Eng. Ramo Makani (wa pili kushoto) akizungumza na watumishi na wakufunzi wa Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori ya Pasiansi alipotembelea chuoni hapo hivi karibuni.
Mkufunzi wa mafunzo ya kijeshi katika Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori ya Pasiansi, Koplo Jamal Said Mbaruku akichangia katika mkutano na Naibu Waziri.
No comments:
Post a Comment