Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne
Maghembe (kulia) akimkaribisha Meneja Mahusiano wa Kampuni ya SportPesa
Tanzania, Sabrina Msuya ofisini kwake mjini Dodoma jana ambapo alifika
kukabidhi Cheti cha Shukurani kutoka kwa kampuni hiyo kwa Wizara yake
kufanikisha ujio wa timu ya Everton nchini Tanzania mwezi Julai mwaka huu, 2017.
Ameipongeza SportPesa kwa kufanikisha kuileta timu hiyo nchini na kuwaomba
kuzileta timu nyingine kutoka nchini Uingereza kwa kuanzia na timu ya Arsenal
ili kuutangaza zaidi utalii wa Tanzania nje ya nchi.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne
Maghembe (kulia) akipokea Cheti cha Shukurani kutoka kwa Kampuni ya SportPesa
Tanzania kwa wizara yake kufanikisha ujio wa timu ya Everton nchini Tanzania mwezi
Julai mwaka huu, 2017, anaekabidhi cheti hicho ni Meneja Mahusiano wa Kampuni hiyo,
Sabrina Msuya ofisini kwake mjini Dodoma jana. Ameipongeza SportPesa kwa kuileta
timu hiyo nchini na kuiomba kuzileta timu nyingine kutoka nchini Uingereza kwa
kuanzia na timu ya Arsenal ili kuutangaza zaidi utalii wa Tanzania nje ya nchi.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne
Maghembe (kulia) akizungumza na Meneja Mahusiano wa Kampuni ya SportPesa
Tanzania, Sabrina Msuya ofisini kwake mjini Dodoma jana mara baada ya kupokea Cheti
cha Shukurani kutoka kwa kampuni hiyo kwa Wizara yake kufanikisha ujio wa timu ya
Everton nchini Tanzania mwezi Julai mwaka huu, 2017. Ameipongeza SportPesa kwa kuileta
timu hiyo nchini na kuiomba kuzileta timu nyingine kutoka nchini Uingereza kwa
kuanzia na timu ya Arsenal ili kuutangaza zaidi utalii wa Tanzania nje ya nchi.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne
Maghembe (kulia) akimsikiliza Meneja Mahusiano wa Kampuni ya SportPesa
Tanzania, Sabrina Msuya ofisini kwake jana mjini Dodoma mara baada ya kupokea Cheti
cha Shukurani kutoka kwa kampuni hiyo kwa Wizara yake kufanikisha ujio wa timu ya
Everton nchini Tanzania mwezi Julai mwaka huu, 2017. Ameipongeza SportPesa kwa kuileta
timu hiyo nchini na kuiomba kuzileta timu nyingine kutoka nchini Uingereza kwa
kuanzia na timu ya Arsenal ili kuutangaza zaidi utalii wa Tanzania nje ya nchi.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne
Maghembe (wa pili kulia) akimuaga Meneja Mahusiano wa Kampuni ya SportPesa
Tanzania, Sabrina Msuya ofisini kwake jana mjini Dodoma baada ya kupokea Cheti
cha Shukurani kutoka kwa kampuni hiyo kwa Wizara yake kufanikisha ujio wa timu ya
Everton nchini Tanzania mwezi Julai mwaka huu, 2017. Ameipongeza SportPesa kwa
kufanikisha kuileta timu hiyo nchini na kuwaomba kuzileta timu nyingine kutoka
nchini Uingereza kwa kuanzia na timu ya Arsenal ili kuutangaza zaidi utalii wa
Tanzania nje ya nchi. Kulia aliyeshikilia cheti hicho ni Naibu Katibu Mkuu wa
Wizara hiyo, Dkt. Aloyce Nzuki.
PICHA NA HAMZA TEMBA - WIZARA YA MALIASILI NA UTALII
No comments:
Post a Comment