Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akifungua warsha ya kitaifa ya siku moja ya wadau wanaopinga vitendo vya uhalifu dhidi ya wanyamapori na misitu nchini jijini Dodoma leo Juni 26, 2018. Warsha hiyo imelenga kujadili na kuainisha mahitaji na vipaombele katika sekta ya mahakama na mashtaka kwa ajili ya kudhibiti uhalifu huo.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla, Kaimu Katibu Mkuu
Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Iddi Mfunda (wa pili kushoto), Mkurugenzi wa Mashtaka, Biswalo Mganga (wa pili kulia) na Mkuu wa ofisi wa Shirika la Ufuatiliaji wa
Wanyamapori (TRAFFIC), Julie Thomson (kulia) wakiimba wimbo wa Taifa wakati wa warsha ya kitaifa ya siku moja ya wadau wanaopinga vitendo vya uhalifu dhidi ya wanyamapori na
misitu nchini jijini Dodoma leo Juni 26, 2018.
Baadhi ya wadau wa kitaifa walioshiriki hafla hiyo wakiimba wimbo wa Taifa.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akifungua warsha ya kitaifa ya siku moja ya wadau wanaopinga vitendo vya uhalifu dhidi ya wanyamapori na misitu nchini jijini Dodoma leo Juni 26, 2018.
Picha ya pamoja ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla na wadau wa kitaifa wa kupinga vitendo vya uhalifu dhidi ya wanyamapori na misitu nchini.
No comments:
Post a Comment