Saturday, June 3, 2017

DAVID BECKHAM ATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI

Mcheza soka maarufu duniani kutoka nchini Uingereza aliyewahi kuchezeka Club ya Manchester United na Real Madrid, David Beckham akiwa na mke wake na watoto wao wanne wametembelea hifadhi ya Taifa ya Serengeti. Pichani akiwa amepozi kwenye hifadhi hiyo.
Image may contain: 1 person, standing and outdoor
Pichani akiwa na Askari wa hifadhi ya Serengeti.
Image may contain: 1 person, sky, outdoor and nature
Mtoto wake Brooklyn akiwa ndani ya Serengeti.
Image may contain: 2 people, hat
Beckham na mwanae Brooklyn ndani ya Serengeti.

No comments:

Post a Comment