Waziri wa Maliasili
na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla na viongozi wengine wa mkoa wa Rukwa
wakifurahia kufika karibu na kina cha Maporomoko ya Mto Kalambo ambayo yapo katika
wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, maporomoko haya ni ya pili kwa urefu barani
Afrika. Eneo hilo la kivutio linaendelea kuboreshwa kwa kujengewa ngazi maalum zinazowawezesha
watalii kufika hadi kwenye kina cha maporomoko hayo.
Waziri wa Maliasili
na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akishuka kuelekea karibu na kina cha Maporomoko
ya Mto Kalambo ambayo yapo katika wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, maporomoko
haya ni ya pili kwa urefu barani Afrika. Eneo hilo la kivutio linaendelea
kuboreshwa kwa kujengewa ngazi maalum zinazowawezesha watalii kufika hadi
kwenye kina cha maporomoko hayo.
Waziri wa Maliasili
na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akipanda mlima baada ya kuona Maporomoko
ya Mto Kalambo ambayo yapo katika wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, maporomoko
haya ni ya pili kwa urefu barani Afrika. Eneo hilo la kivutio linaendelea
kuboreshwa kwa kujengewa ngazi maalum zinazowawezesha watalii kufika hadi
kwenye kina cha maporomoko hayo.
Waziri wa Maliasili
na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla na viongozi wengine wa mkoa wa Rukwa wakishuka kwenda kuona Maporomoko
ya Mto Kalambo ambayo yapo katika wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa.
Waziri wa Maliasili
na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla viongozi wengine wa mkoa wa Rukwa wakinawa
mikono kwenye mto kalambo ambao unatengeneza Maporomoko ya Mto Kalambo ambayo ni
ya pili kwa urefu barani Afrika katika kijiji cha Kapozwa wilaya ya Kalambo
mkoani Rukwa.
Waziri wa Maliasili
na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kapozwa
wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa muda mfupi baada ya kutembelea Maporomoko ya Mto
Kalambo ambayo ni ya pili kwa urefu barani Afrika. Eneo hilo la kivutio linaendelea
kuboreshwa kwa kujengewa ngazi maalum zinazowawezesha watalii kufika hadi
kwenye kina cha maporomoko hayo.
Waziri wa Maliasili
na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akiangalia mandhari ya Maporomoko ya Mto
Kalambo ambayo ni ya pili kwa urefu barani Afrika katika kijiji cha Kapozwa
wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa. Eneo hilo la kivutio linaendelea kuboreshwa kwa
kujengewa ngazi maalum zinazowawezesha watalii kufika hadi kwenye kina cha
maporomoko hayo.
Waziri wa Maliasili
na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akitoa maelezo kwa waandishi wa habari (hawako
pichani) kuhusu Maporomoko ya Mto Kalambo ambayo ni ya pili kwa urefu barani
Afrika katika kijiji cha Kapozwa wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa. Eneo hilo la
kivutio linaendelea kuboreshwa kwa kujengewa ngazi maalum zinazowawezesha
watalii kufika hadi kwenye kina cha maporomoko hayo.
Waziri wa Maliasili
na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla na viongozi wengine wa Serikali wakishuka kwenda kuona Maporomoko
ya Mto Kalambo ambayo yapo katika wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, maporomoko
haya ni ya pili kwa urefu barani Afrika. Eneo hilo la kivutio linaendelea
kuboreshwa kwa kujengewa ngazi maalum zinazowawezesha watalii kufika hadi
kwenye kina cha maporomoko hayo.
Waziri wa Maliasili
na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla na viongozi wengine wa mkoa wa Rukwa wakipanda ngazi baada ya kuona Maporomoko
ya Mto Kalambo ambayo yapo katika wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, maporomoko
haya ni ya pili kwa urefu barani Afrika. Eneo hilo la kivutio linaendelea
kuboreshwa kwa kujengewa ngazi maalum zinazowawezesha watalii kufika hadi
kwenye kina cha maporomoko hayo.
Muonekano wa eneo la kuingilia kuelekea kwenye mporomoko ya mto Kalambo.
Muonekano mwanana wa Maporomoko ya Mto Kalambo.
No comments:
Post a Comment