Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Aloyce Nzuki akizungumza wakati akifungua warsha iliyoandaliwa na Wizara hiyo kwa wadau wa Mikoa ya Kanda ya Kati kwa ajili ya kukusanya maoni ya kuboresha Rasimu ya Sera Mpya ya Misitu ya mwaka 2016 iliyofanyika mjini Dodoma leo.
Mkurugenzi wa Idara ya Misitu na Nyuki, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Ezekiel Mwakalukwa akizungumza katika warsha iliyoandaliwa na Wizara hiyo kwa wadau wa Mikoa ya Kanda ya Kati kwa ajili ya kukusanya maoni ya kuboresha Rasimu ya Sera Mpya ya Misitu ya mwaka 2016 iliyofanyika mjini Dodoma leo.
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Aloyce Nzuki (kushoto) akipokea vitabu vya Sera ya Taifa ya Misitu ya mwaka 1998 kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Mpingo Conservation Initiatives, Makala Jasper ambao wamesaidia kuchapisha nakala 1304 za sera hiyo kwa ajili ya kusaidia zoezi linaloendelea la kukusanya maoni ya kuboresha Rasimu ya Sera Mpya ya Misitu ya Mwaka 2016 katika warsha iliyoandaliwa na Wizara hiyo mjini Dodoma leo. Kulia anayeshuhudia ni Mkurugenzi wa Idara ya Misitu na Nyuki, Dkt. Ezekiel Mwakalukwa.
Baadhi wa watumishi wa Wizara ya Maliasili na wadau wa sekta ya Misitu na Nyuki wakiwa kwenye warsha iliyoandaliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii kwa ajili ya kukusanya maoni ya kuboresha Rasimu ya Sera Mpya ya Misitu ya mwaka 2016, mjini Dodoma leo.
Baadhi ya wakazi wa kanda ya kati walioshiriki warsha iliyoandaliwa na Wziara ya Maliasili na Utalii kwa ajili ya kukusanya maoni iliyoandaliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii kwa ajili ya kukusanya maoni ya kuboresha Rasimu ya Sera Mpya ya Misitu ya mwaka 2016, mjini Dodoma leo.
Baadhi ya washiriki wa warsha hiyo kutoka mikoa ya Kanda ya Kati.
Baadhi ya washiriki wa warsha hiyo.
Picha ya pamoja ya Naibu Katibu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Aloyce Nzuki na washiriki wa warsha hiyo.
Picha ya pamoja ya Naibu Katibu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Aloyce Nzuki (katikati walioka), Mkurugenzi wa Idara ya Misitu na Nyuki, Dkt. Ezekiel Mwakalukwa (kulia kwake)na Wawezeshaji wa warsha hiyo.
Washiriki wa warsha hiyo wakiwa kwenye vikundi kazi vya kukusanya maoni ya kuboresha Rasimu ya Sera Mpya ya Misitu ya mwaka 2016 lililoandaliwa na Wizara hiyo mjini Dodoma leo.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Misitu na Nyuki, Wizara ya Maliasili na Utalii, Alen Richard akizungumza na baadhi ya wadau wa Misitu wa Mikoa ya Kanda ya Kati wakati wa warsha iliyoandaliwa na Wizara hiyo kwa ajili ya kukusanya maoni ya kuboresha Rasimu ya Sera Mpya ya Misitu ya mwaka 2016 lililoandaliwa na Wizara hiyo mjini Dodoma leo.
Washiriki wa warsha hiyo wakiwa kwenye vikundi kazi vya kukusanya maoni ya kuboresha Rasimu ya Sera Mpya ya Misitu ya mwaka 2016 lililoandaliwa na Wizara hiyo mjini Dodoma leo. (PICHA NA HAMZA TEMBA-WMU)
SOMA HOTUBA YA NAIBU KATIBU MKUU NA MKURUGENZI WA IDARA YA MISITU NA NYUKI HAPA CHINI
No comments:
Post a Comment